TANGAZO
Jengo la Madarasa mawili lililopo katika kijiji cha Mpekeso,kata ya Matawale Halmashauri ya mji wa Masasi ambalo limezinduliwa hii leo na mkuu wa wilaya ya Masasi Bernald Nduta kijijini hapo.
Jengo la Madarasa mawili yaliyojengwa na TASAF kwa kushirikiana na Halmashauri ya mji wa Masasi ambayo yamekamilika ndani ya miezi minne tu kati ya miezi sita iliyopangwa.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya mji wa Masasi Fortunatus Mathew Kagoro akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mpekeso hii leo wakati wa uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa madarasa mawili katika kijiji hicho.
MRATIBU wa TASAF Halmashauri ya mji wa Masasi Joram Msyangi akifurahi pamoja na wananchi wa kijiji cha Mpekeso baada ya kukabidhiwa zawadi ya kuku ikiwa kama ishara ya upendo wa wananchi hao kwa mratibu huyo kwa kukamilisha ujenzi wa mradi huo kwa wakati.
Mkuu wa wilaya ya Masasi Bernald Nduta akihutubia wananchi wa kijiji cha Mpekeso wakati wa uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa madarasa kijijini hapo.
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD