Loading...
ADVERTISE WITH US ON THIS BLOG.CALL +255 714 789 592/ +255 682 997 767/ +255 752 944 022

WASIFU WA KASSIMU MAJALIWA (MB) RUANGWA ALIYEPENDEKEZWA KUWA WAZIRI MKUU WA SERIKALI YA AWAMU YA TANO.

TANGAZO
Waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Kasim Majaliwa Alizaliwa Desemba 12 mwaka 1960 wilayani Ruangwa.
Alisoma katika shule ya msingi Mnacho mwaka 1970 hadi 1976 
mwaka 1977 alichaguliwa kusoma katika shule ya sekondari ya kigonsera hadi alipohitimu mwaka 1980.
alijiunga na chuo cha ualimu Mtwara mwaka 1991 na kuhitimu mwaka 1993.
mwaka 1994 alijiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kuhitimu mwaka 1998.
mwaka 1999 alikwenda Stockhom na kujiunga na chuo kikuu cha Stockhom kwa kozi ya mwaka mmoja. 
2010 2014 - MB
2006 2010 PM Mkuu wa Wilaya
2001 2006 PS-CWJ Katibu Mkoa
2001 2001 PS-CWJ Katibu Wilaya
1988 2000 PS-Moec Mkufunzi
1984 1986 TD-Lindi Council Mwalimu
 Hiyo ndiyo historia fupi ya Kasimu Majaliwa.


TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD
Newer Posts Older Posts
© Copyright Mtazamo Mpya | Designed By FAHARI YA TANZANIA
Back To Top