Loading...
ADVERTISE WITH US ON THIS BLOG.CALL +255 714 789 592/ +255 682 997 767/ +255 752 944 022

MFAHAMU MAMA JANETH MAGUFULI MKE WA RAIS WA AWAMU YA TANO DK.JOHN POMBE MAGUFULI.

TANGAZO
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli,Mama Janeth Magufuli.

Kitaaluma ni mwalimu,alikuwa anafundisha shule ya msingi Mbuyuni, Oysterbay  jijini Dar es salaam ambayo pia ndiyo iliyomuibua Salma Kikwete mwaka 2005 ambaye ni mke wa Rais Mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete.

Masomo aliyokuwa akifundisha ni Historia,Jiografia na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama).


Lakini kwa sasa ameacha kutokana na wadhifa huo mpya aliopata mumewe.hata hivyo hakuwa maarufu sana wakati alipokuwa anafaundisha shuleni hapo licha ya kuwa mke wa waziri mchapakazi na sasa Rais.

TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD
Newer Posts Older Posts
© Copyright Mtazamo Mpya | Designed By FAHARI YA TANZANIA
Back To Top