TANGAZO
Lori lililosababisha kifo likiwa limepinduka hii leo mjini Masasi.
TAARIFA YA JESHI LA POLISI
KUHUSU AJALI ILIYOTOKEA LEO –MASASI.
MSS/TR/AR/24/2015(//) AJALI
YA GARI KUMGONGA MPANDA BAISKELI NA KUSABABISHA KIFO (/) MNAMO TAREHE
27/12/2015 SAA 13:30HRS. HUKO ENEO LA BOMANI BARABARA YA REST CAMP/TK JIRANI NA
NYUMBA YA MKURUGENZI WA MJI WILAYA YA MASASI, MKOA WA MTWARA.
GARI NAMBA T 767
AJF AINA YA FUSO LORRY MALI YA SJ OMARI WA S.L.P. 40, LUSHOTO TANGA
LIKIENDESHWA NA DEREVA ALIYEJULIKANA KWA JINA LA FRENK S/O PETRO @ GALAMA
ALIMGONGA MPANDA BAISKELI OMARY S/O SAIDI @ MWAYOYO UMRI 47YRS MMAKONDE MKULIMA
MKAZI WA NAMAHINGA MASASI NA KUMSABABISHIA KUFARIKI DUNIA PAPO HAPO NA GARI KUPINDUKA
(/).
BAADA YA AJALI DEREVA ALIKIMBIA NA JUHUDI ZA KUMTAFUTA ZINAENDELEA(/)
CHANZO CHA AJALI NI MWENDO KASI KWENYE KONA KALI(/). ENEO LA TUKIO LIMEKAGULIWA
NA A/INSP.
NICODEM AKISAIDIWA NA E657 S/SGT NUHU(/),TAARIFA KITUONI NA A/INSP
NICODEM NA KUPOKELEWA NA WP2953 CPL ELIZA TAREHE 27/12/2015 SAA 13:45HRS ()
MAENDELEO /FCR INAFUATA/// MWISHO/// TOKA POL TR MASASI.
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD