Loading...
ADVERTISE WITH US ON THIS BLOG.CALL +255 714 789 592/ +255 682 997 767/ +255 752 944 022

WANANCHI WAFUNGUKA NI DIWANI WA AINA GANI ANAFAA KUWA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MJI MASASI.

TANGAZO
UJENZI wa Barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa Km.1.2 kutoka eneo la TK hadi Sabasaba maarufu Mkapa Road iliyopo mjini Masasi mkoani Mtwara iliyojengwa kwa thamani ya shilingi 325,000,000.00.

MADIWANI WATEULE WA HALMASHAURI YA MJI WA MASASI MKOANI MTWARA.
JE, UNADHANI NI DIWANI YUPI ANASTAHILI KUWA MWENYEKITI WA HALMASHAURI HIYO?



1.MKOMAINDO-Salvatory Salum Ally-CCM
2.NYASA-Kodo Mussa Mbaraka-CCM
3.MTANDI-Sande Chipojola Usale-Chadema
4.MKUTI-Machuma Hamza Katani-CUF
5.MARIKA-Asha Abasi Millanzi-CCM
6.NAPUPA-Nachunga P. Sospeter-CCM
7.CHANIKANGUO-Mpili Peter Leslie-CCM
8.TEMEKE-Selemani Nivako Uledi-CCM
9.MIGONGO- Philemon Millanzi-CCM
10.MWENGE MTAPIKA-Ismail Omari Matola-CCM
11.MUMBAKA-Nikwanya H.Sadiki-CCM
12.MATAWALE-Hausi Mnela (Kisiki cha Mgomba)-CCM
13.SULULU-Mtalika A.Said-CCM
14.JIDA-Mbwana A. Mkeng’endo –CUF


MAONI YA WANANCHI KUPITIA UKURASA WETU WA  FACEBOOK:
 1.SIFAEL KULANGA: Wadau mjitahidi kumpata mwenyekiti aliyesoma kidogo na kuwa na uzoefu wa maeneo tofauti ili alete maendeleo sio fitina, majungu na kulewa madaraka. Hayo ni maoni yangu tu binafsi wana masasi.Ingawa zote hadithi, CCM wilaya ndio wataweka wanayemtaka wao kwa mustakabali wa wingi wao.

2.HASHIM MKUPA: Mwenyekiti awe  Uledi wa kata ya  Temeke kwa kuwa  alishakua makamu wa mwenyekiti katika  awamu iliyopita hivyo apewe tu.

3.SENETA MUSHI NGANOGELA: MACHUMA HAMZA KATANI Diwani wa kata ya Mkuti kupitia CUF  anastahili kuwa mwenyekiti wa Halmashauri ya mji wa Masasi.

4.MISHY BAIS: Asha Abasi Millanzi wa kata ya  Marika anafaa kuwa mwenyekiti wa Halmashauri hiyo.

5. DEO MMOLE: F.Millanzi wa kata ya Migongo.

Bado Tunaendelea kupokea maoni yako kupitia Ukurasa wetu wa FaceBook.

TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD
Newer Posts Older Posts
© Copyright Mtazamo Mpya | Designed By FAHARI YA TANZANIA
Back To Top