Loading...
ADVERTISE WITH US ON THIS BLOG.CALL +255 714 789 592/ +255 682 997 767/ +255 752 944 022

NI RASMI MAGUFULI NI RAIS WA AWAMU YA TANO WA TANZANIA,AAPISHWA LEO AHAIDI KUANZA KAZI MARA MOJA.

TANGAZO

Rais wa serikali ya awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli ameapishwa rasmi hii leo katika viwanja nya Uhuru jijini Dar es salaam.

Akitoa hotuba yake ya kwanza akiwa Rais kwa watanzania Dkt.Magufuli amesema "kwa sasa uchaguzi umekwisha na Rais ni yeye na kwamba kilichobaki ni "Kazi tu" katika kuliletea maendeleo Taifa la Tanzania.

Amesema washindani wake wa kisiasa wanapaswa kukubali ili kusukuma gurudumu la maendeleo huku akiahidi siku chache zijazo kutoa hotuba yake  yenye mwelekeo wake katika kipindi cha miaka mitano ijayo kwa watanzania.

TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD
Newer Posts Older Posts
© Copyright Mtazamo Mpya | Designed By FAHARI YA TANZANIA
Back To Top