TANGAZO
MENEJA wa PSPF mkoa wa Mtwara Omary Kaliko akipokea kikombe cha ushindi kutoka wa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya wakulima nane nane yaliyofanyika kwenye viwanja vya Ngongo mkoani Lindi mwaka huu.
Bw: Omary Kaliko meneja wa PSPF mkoa wa Mtwara akiinua kikombe cha ushindi mara baada ya kukabidhiwa kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Kikwete wakati wa maonesho ya nane nane mkoani Lindi.
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na meneja wa PSPF mkoa wa Mtwara Omary Kaliko kabla ya kumkabidhi kiombe cha ushindi kwenye kilele cha maadhimisho ya wakulima nanenane.
Bwana Omary Kaliko akiondoka jukwaani mara baada ya kukabidhiwa kikombe cha ushindi na Rais Jakaya Kikwete.
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD