TANGAZO
MKUU wa wilaya ya Masasi Bernald Nduta akizungumza wakati wa mahafali ya kwanza ya chuo cha Uandishi wa Habari cha Quality Development mjini Masasi.
“Uandishi wa habari sio
kuandika habari ya diwani kashikwa ugoni na mke wa mume fulani bali mwandishi
mwenye uweledi ni yule anayeandika mambo ya kimaendeleo kwa manufaa ya taifa
hivyo zingatieni sana taaluma zenu".Alisema Nduta.
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD