Loading...
ADVERTISE WITH US ON THIS BLOG.CALL +255 714 789 592/ +255 682 997 767/ +255 752 944 022

MAFUNZO YA SIKU 7 KWA MADEREVA BODABODA NA BAJAJI WILAYANI MASASI YAFUNGWA RASMI

TANGAZO
 Washiriki wa mafunzo ya madereva bodaboda wilayani Masasi ambapo hii leo yamefungwa rasmi na mkuu wa wilaya ya Masasi Bernald Nduta kwenye ukumbi wa miduleni Halmashauri ya wilaya ya Masasi.
 Mkuu wa Wilaya ya Masasi Bernald Nduta wakati anaongea na washiriki wa mafunzo ya siku saba kwa madereva bodaboda na Bajaji wilayani Masasi hii leo ambapo aliyafunga rasmi.
 Picha zote hapa ni baadhi ya washiriki wakipokea vyeti kutoka kwa mgeni rasmi ambaye alikuwa mkuu wa wilaya ya Masasi Bernald Nduta.


TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD
Newer Posts Older Posts
© Copyright Mtazamo Mpya | Designed By FAHARI YA TANZANIA
Back To Top