TANGAZO
Na Clarence Chilumba,Masasi.
WANAWAKE wa CCM 56 Wamejitokeza Kuchukua Fomu kuomba wateuliwe kugombea
Udiwani Kupitia Viti Maalumu Wilayani Masasi.
Katibu wa Umoja wa Wanawake Tanzania Wilaya ya Masasi Joyce Mkaugara
alisema hayo jana wilayani hapa na kusema kuwa kwa nafasi hizo za udiwani
waliojitokeza ni wanawake 56.
Alisema kwa upande wa nafasi za ubunge wa viti maalumu,wanawake wawili
wamejitokeza kuchukua na kurejesha fomu ambao ni mkuu wa wilaya ya Tunduru
Agness Hokororo na mwenyekiti wa UWT mkoa wa Mtwara Daisy Ibrahimu.
Aidha kila mtia nia amehaidi kuwa
endapo atapewa ridhaa ya chama chake basi atawahudumia wananchi wake kwa
uadilifu mkubwa.
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD