TANGAZO
Kwa mujibu wa Ibara ya 75(4) ya
Katiba ya Jamhuri ya Muungano waTanzania ya mwaka 1977, Tume ya Taifa ya
Uchaguzi ina jukumu lakuchunguza mgawanyo wa Jamhuri ya Muungano katika Majimbo
ya Uchaguzi;
Tume inaweza kutekeleza jukumu hilo mara kwa mara au angalau kila baada ya miaka kumi.
Tume inaweza kutekeleza jukumu hilo mara kwa mara au angalau kila baada ya miaka kumi.
MAJIMBO YALIYOANZISHWA KWA KIGEZO CHA ONGEZEKO LA
HALMASHAURI
HALMASHAURI
Majimbo 20 yanayoanzishwa
kutokana na kuanzishwa kwa
Halmashauri mpya ni pamoja na:
1. Handeni Mjini
2. Nanyamba
3. Makambako
4. Butiama
5. Tarime Mjini
6. Tunduma
7. Nsimbo
8. Kavuu
9. Geita Mjini
10. Mafinga Mjini
11. Kahama Mjini
12. Ushetu
13. Nzega Mjini
14. Kondoa Mjini
15. Newala Mjini
16. Mbulu Mjini
17. Bunda Mjini
18. Ndanda
19. Madaba
20 Mbinga Mjini
Halmashauri mpya ni pamoja na:
1. Handeni Mjini
2. Nanyamba
3. Makambako
4. Butiama
5. Tarime Mjini
6. Tunduma
7. Nsimbo
8. Kavuu
9. Geita Mjini
10. Mafinga Mjini
11. Kahama Mjini
12. Ushetu
13. Nzega Mjini
14. Kondoa Mjini
15. Newala Mjini
16. Mbulu Mjini
17. Bunda Mjini
18. Ndanda
19. Madaba
20 Mbinga Mjini
MAJIMBO YALIYOANZISHWA KWA KIGEZO
CHA IDADI YA WATU
Majimbo 6 yanayoanzishwa kutokana na idadi ya watu ni:1. Mbagala – Dar es salaam
2. kibamba – Dar es salaam
3. Vwawa – Mbeya
4. Manonga - Tabora
5. Mlimba - Morogoro
6. Ulyankulu - Tabora
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD