TANGAZO
MHESHIMIWA BERNALD KAMILIUS MEMBE AKIWA MKOANI DAR.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa
Jimbo la Mtama, Bernard Membe akionesha fomu zilizojazwa na wana CCM wa Mkoa wa
Dar es Salaam zaidi ya 1,500 kwa ajili ya kumdhamini ili aweze kuwania urais
katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya
kukabidhiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Athuman Shesha (kulia) katika
Ukumbi wa Vijana Kinondoni Juni 25.2015. Kushoto ni mkewe Mama Dorcas Membe.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akizungumza na umati wa wanachama wa
Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliofurika katika ukumbi wa Vijana Kinondoni mkoani
Dar es Salaam Juni 25.2015, kwa ajili ya kumdhamini ili aweze kuwania urais
katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo wana CCM zaidi ya
1,500 walimdhamini.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa
Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiagana na umati wa wanachama wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) waliofurika katika ukumbi wa Vijana Kinondoni mkoani Dar es
Salaam Juni 25.2015, kwa ajili ya kumdhamini ili aweze kuwania urais katika
uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo wanaCCM 1,500 walimdhamini.
MHESHIMIWA MEMBE ALIPATA MAPOKEZI MAKUBWA PIA JIJINI MWANZA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa
Jimbo la Mtama, Bernard Membe akizungumza na umati wa wanachama wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) na wananchi waliofurika nje ya viwanja vya ofisi ya Mkuu wa
wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza Juni 21.2015, wakati akitafuta wadhamini ili
aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo
wanaCCM zaidi ya 2,300 walimdhamini.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa
Jimbo la Mtama, Bernard Membe (mwenye miwani), akiupungia mikono umati wa
wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi waliofurika nje ya viwanja
vya ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza Juni 21.2015, wakati
akitafuta wadhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa
tiketi ya chama hicho, ambapo wanaCCM zaidi ya 2,300 walimdhamini.
GEITA NAKO HALI ILIKUWA HIVI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto) akizungumza na wanachama wa
Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliofurika kwenye Ukumbi wa Ofisi ya CCM Wilaya ya
Geita Juni 21.2015, kwa ajili ya kumdhamini ili aweze kuwania urais katika
uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa
Jimbo la Mtama, Bernard Membe (katikati mwenye miwani) akishangiliwa na
wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliofurika kwenye Ukumbi wa Ofisi ya
CCM Wilaya ya Geita Juni 21.2015, kwa ajili ya kumdhamini ili aweze kuwania
urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho. Kushoto kwake ni
Katibu wa CCM wilaya ya Geita, Robert Balingo.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa
Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto) akipongezwa na wanachama wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) waliofurika kwenye Ukumbi wa Ofisi ya CCM Wilaya ya Geita Juni
21.2015, kwa ajili ya kumdhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu
ujao kwa tiketi ya chama hicho.
Waendesha baiskeli wakiusindikiza msafara wa Waziri wa Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe
(hayupo pichani) baada ya kuwasili wilayani Geita Juni 21.2015,kwa ajili ya
kutafuta wadhamini wa kumdhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu
ujao kwa tiketi ya chama hicho.
MEMBE AKIWA KATIKA MKOA WA MARA ALIPATA MAPOKEZI YA KIPEKEE
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa
Jimbo la Mtama, Bernard Membe (mwenye miwani) akilakiwa na umati wa wanachama
wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Mara, waliofika katika Ofisi ya CCM ya
mkoa huo mjini Musoma Jana, kwa ajili ya kumdhamini iliaweze kuwania urais
katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata
wadhamini zaidi ya 1,800 mkoani humo.
BERNARD
MEMBE AHUDHURIA MSIBA WA MTOTO WA JENERALI MSUGURI NA KUHANI MSIBA WA JOHN
NYERERE BUTIHAMA MKOANI MARA.
Waziri wa Mambo ya Nje
na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia)
akitoa heshima za mwisho kwenye jeneza lenye mwili wa Luteni mstaafu wa Jeshi
la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Marehemu Martin David Msuguri wakati wa ibada
ya kumuaga na mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa Baba yake Jenerali mstaafu
David Msuguri, Butihama mkoani Mara Juni 21.2015. Marehemu Martin alifariki
Juni 19 mwaka huu katika Hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam baada ya
kuugua.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa
Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akitoa salamu za rambi rambi kwa niaba ya
Serikali wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa Luteni mstaafu wa Jeshi la
Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Marehemu Martin David Msuguri wakati wa ibada ya
kumuaga na mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa Baba yake, Jenerali mstaafu David
Msuguri, Butihama mkoani Mara Juni 21.2015. Marehemu Martin alifariki Juni 19
mwaka huu katika Hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam baada ya kuugua.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa
Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) na Mama Maria Nyerere wakiwa katika
shughuli ya kuaga mwili wa Luteni mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania
(JWTZ), Marehemu Martin David Msuguri wakati wa ibada ya kumuaga na mazishi
yaliyofanyika nyumbani kwa Baba yake, Jenerali mstaafu David Msuguri (wa tatu
kulia), Butihama mkoani Mara Juni 21.2015. Marehemu Martin alifariki Juni 19
mwaka huu katika Hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam baada ya kuugua.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa
Jimbo la Mtama, Bernard Membe akijadiliana jambo na Mama Maria Nyerere baada ya shughuli ya kuaga mwili wa
Luteni mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Marehemu Martin David
Msuguri, katika ibada ya kumuaga na mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa Baba
yake, Jenerali mstaafu David Msuguri, Butihama mkoani Mara Juni 21.2015.
Marehemu Martin alifariki Juni 19 mwaka huu katika Hospitali ya Lugalo jijini
Dar es Salaam baada ya kuugua. Kulia ni Mbunge wa Mchinga (CCM), Saidi Mtanda.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiweka shada la maua kwenye kaburi la
Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakati alipokwenda
nyumbani hapo kuhani msiba wa mtoto wa Baba wa taifa, Marehemu John Guido
Nyerere, wilayani Butihama mkoani Mara Juni 21.2015.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa
Jimbo la Mtama, Bernard Membe akitoka nje ya kaburi la Hayati Baba wa Taifa
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere baada ya kuweka shada la maua wakati
alipokwenda nyumbani hapo, kuhani msiba wa mtoto wa Baba wa taifa, Marehemu
John Guido Nyerere, wilayani Butihama mkoani Mara Juni 21.2015.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa
Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiweka shada la maua kwenye kaburi la mtoto wa
Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Bw. John Guido Nyerere
aliyefariki Mei 9 mwaka huu, wakati alipokwenda kuhani msiba, wilayani Butihama
mkoani Mara Juni 21.2015.
WANANCHI WA WILAYA YA CHAMWINO NAO WALIJITOKEZA KWA WINGI KUMDHAMINI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto) akilakiwa na wanachama wa
Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliofika kwenye viwanja vya Ofisi ya Serikali ya
Kijiji cha Chamwino Ikulu, wilayani Chamwino Mkoa wa Dodoma Juni 22.2015, kwa
ajili ya kumdhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa
tiketi ya chama hicho.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa
Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto) akiangalia kikundi cha ngoma za asili
wakati alipowasili kwenye viwanja vya Ofisi ya Serikali ya Kijiji cha Chamwino
Ikulu, wilayani Chamwino Mkoa wa Dodoma Juni 22.2015, kwa ajili ya kutafuta
wadhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama
hicho.
Mzee Aidan Mazego (kushoto), akitoa salamu za baraka
kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la
Mtama, Bernard Membe (katikati) alipofika kwenye Ofisi ya Serikali ya Kijiji
cha Chamwino Ikulu, wilayani Chamwino Mkoa wa Dodoma Juni 22.2015, kwa ajili ya
kutafuta wadhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi
ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kulia ni Mwenyekiti mstaafu wa CCM mkoa wa
Dodoma, Mzee William Kusila.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa
Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti
wa Kijiji cha Chamwino Ikulu, Joseph Seganje kuhusu Mnara wa kumbukumbu ya
Hayati Baba wa Taifa, Mwl. Julius Kambarage Nyerere aliyeishi katika kijiji
hicho, kuanzia Julai 10.1971 hadi Oktoba 30.1971 akihimiza siasa ya ujamaa na
kujitegemea nchi nzima, wakati Waziri Membe alipofika wilayani Chamwino Mkoa wa
Dodoma Juni 22.2015, kwa ajili ya kutafuta wadhamini ili aweze kuwania urais
katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Wa pili
(kushoto) ni Katibu wa CCM wa wilaya hiyo, Janeth Mashele.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa
Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto) akitazama picha za matukio mbalimbali
ya Mwl. Nyerere alipotembelea Mnara wa kumbukumbu ya Hayati Baba wa Taifa, Mwl.
Julius Kambarage Nyerere aliyeishi katika Kijiji cha Chamwino Ikulu, kuanzia
Julai 10.1971 hadi Oktoba 30.1971 akihimiza siasa ya ujamaa na kujitegemea nchi
nzima, wakati Waziri Membe alipofika wilayani Chamwino Mkoa wa Dodoma Juni
22.2015, kwa ajili ya kutafuta wadhamini ili aweze kuwania urais katika
uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kushoto ni
Mwenyekiti mstaafu wa CCM mkoa wa Dodoma, Mzee William Kusila na (wa tatu
kushoto) ni Katibu wa CCM wa wilaya hiyo, Janeth Mashele.
MOROGORO NAO HAWAKUWA NYUMA KATIKA KUMUUNGA MKONO
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa
Jimbo la Mtama, Bernard Membe (mwenye miwani), akilakiwa na umati wa wanachama
wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi waliofurika nje ya viwanja vya ofisi
ya CCM ya Morogoro Mjini Juni 24.2015, wakati akitafuta wadhamini ili aweze
kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo
wanaCCM zaidi ya 950 walimdhamini.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa
Jimbo la Mtama, Bernard Membe akizungumza na umati wa wanachama wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) na wananchi waliofurika nje ya viwanja vya ofisi ya CCM ya
Morogoro Mjini Juni 24.2015, wakati akitafuta wadhamini ili aweze kuwania urais
katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo wanaCCM zaidi ya
950 walimdhamini.
WAZIRI BERNARD MEMBE
AKUTANA NA WASANII WA FILAMU MKOA WA MOROGORO
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akizungumza na wasanii wa tasnia ya
filamu mkoa wa Morogoro jana, wakati alipokuwa mkoani humo kwa ajili ya
kutafuta wadhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi
ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambapo wana CCM zaidi ya 950 walimdhamini.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa
Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiwa katika picha ya pamoja na wasanii wa tasnia
ya filamu mkoa wa Morogoro jana, wakati alipokuwa mkoani humo kwa ajili ya
kutafuta wadhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi
ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambapo wanaCCM zaidi ya 950 walimdhamini.
WASIFU WA MHESHIMIWA BERNALD KAMILIUS MEMBE
Mh. Bernard Kamillius Membe alizaliwa tarehe 09 Novemba 1953
katika Kijiji Cha Rondo – Chiponda kilichopo katika Wilaya ya Lindi Vijijini
mkoani Lindi. Alizaliwa kwa mzee Kamillius Antony Ntanchile na mama Cecilia
Josha Membe.
Mh. Membe ni mbunge wa Jimbo la Uchaguzi la Mtama kupitia (CCM)
toka mwaka 2000 na ni waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa toka
mwaka 2007.
HISTORIA YA ELIMU
YAKE:
Mh. Membe alipata elimu ya msingi katika Shule ya Rondo –
Chiponda, elimu ya sekondari (O-Level) katika seminari ya Namupa na elimu ya
kidato cha tano na sita katika seminari ya Itaga.
Mh. Membe alipata elimu ya Chuo Kikuu katika vyuo vya Mlimani
(UDSM) Shahada ya kwanza (BA) na Johns Hopkins Marekani kwa shahada ya pili
(MA).
Mh. Membe ni mtaalamu wa Maswala ya Usalama, aliyosomea huko
Uingereza (UK) na Maswala ya Sayansi ya siasa aliyosomea kivukoni
Dar-es-salaam.
UZOEFU KATIKA
SIASA NA UONGOZI KIUJUMLA:
Historia ya uongozi ilianzia pale alipokuwa mchambuzi wa Masuala
ya Usalama wa Taifa katika ofisi ya Rais, na baadae alipoteuliwa kuwa mshauri
wa Balozi wa Tanzania nchini Canada.
Nafasi alizowahi kutumikia ni:-
·
Mchambuzi wa
Masuala ya Usalama wa Taifa.
·
Mshauri wa Balozi.
·
Naibu waziri wa
Mambo ya Ndani.
·
Naibu waziri wa
Nishati na Madini.
·
Waziri wa Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
Familia yake:
Mh. Membe alifunga ndoa na Dorcas Richard Masanche (1986),
pamoja wamebahatika kupata watoto wa kiume wawili na wakike mmoja.
MSIKITI WA GADDAFI MKOANI DODOMA WAMSHUKURU MEMBE
Sheikh
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mustafa Rajabu Shabani (kulia) akimtambulisha Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (katikati), kwa waumini
wa Msikiti wa Gaddafi mkoani humo jana, wakati waumini hao walipomwita kwa
ajili ya kumshukuru kutokana na jitihada zake katika kuwezesha ujenzi wa
msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa aliyekuwa Kiongozi wa Libya, marehemu
Muammar Gaddafi. Kushoto ni Diwani wa Kwadelo, Alhaj Omary Kariati.
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mustafa Rajabu Shabani (kulia) akimtambulisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (katikati), kwa waumini wa Msikiti wa Gaddafi mkoani humo jana, wakati waumini hao walipomwita kwa ajili ya kumshukuru kutokana na jitihada zake katika kuwezesha ujenzi wa msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa aliyekuwa Kiongozi wa Libya, marehemu Muammar Gaddafi. Kushoto ni Diwani wa Kwadelo, Alhaj Omary Kariati.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akizungumza na waumini wa Msikiti wa Gaddafi mkoani Dodoma jana, wakati waumini hao, walipomwita kwa ajili ya kumshukuru kutokana na jitihada zake katika kuwezesha ujenzi wa msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa aliyekuwa Kiongozi wa Libya, marehemu Muammar Gaddafi.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (wa pili kushoto) na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mustafa Rajabu Shabani (kushoto), wakishiriki katika chakula cha usiku kilichoandaliwa na waumini wa Msikiti wa Gaddafi mkoani Dodoma jana, wakati walipomwita kwa ajili ya kumshukuru kutokana na jitihada zake katika kuwezesha ujenzi wa msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa aliyekuwa Kiongozi wa Libya, marehemu Muammar Gaddafi.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (kushoto), akibadilishana mawazo na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mustafa Rajabu Shabani, wakati waumini wa Msikiti wa Gaddafi mkoani Dodoma, walipomwita jana kwa ajili ya kumshukuru kutokana na jitihada zake katika kuwezesha ujenzi wa msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa aliyekuwa Kiongozi wa Libya, marehemu Muammar Gaddafi. Kulia ni Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA), Mkoani humo, Zidikheri Swedy Kheri.
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mustafa Rajabu Shabani (kulia) akimtambulisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (katikati), kwa waumini wa Msikiti wa Gaddafi mkoani humo jana, wakati waumini hao walipomwita kwa ajili ya kumshukuru kutokana na jitihada zake katika kuwezesha ujenzi wa msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa aliyekuwa Kiongozi wa Libya, marehemu Muammar Gaddafi. Kushoto ni Diwani wa Kwadelo, Alhaj Omary Kariati.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akizungumza na waumini wa Msikiti wa Gaddafi mkoani Dodoma jana, wakati waumini hao, walipomwita kwa ajili ya kumshukuru kutokana na jitihada zake katika kuwezesha ujenzi wa msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa aliyekuwa Kiongozi wa Libya, marehemu Muammar Gaddafi.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe
akiagana na waumini wa
Msikiti wa Gaddafi mkoani Dodoma jana, wakati waumini hao walipomwita kwa ajili
ya kumshukuru kutokana na jitihada zake katika kuwezesha ujenzi wa msikiti huo
uliojengwa kwa ufadhili wa aliyekuwa Kiongozi wa Libya, marehemu Muammar
Gaddafi. Kushoto ni Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mustafa Rajabu Shabani.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe
akizungumza na waumini wa Msikiti wa Gaddafi mkoani Dodoma jana, wakati waumini
hao, walipomwita kwa ajili ya kumshukuru kutokana na jitihada zake katika
kuwezesha ujenzi wa msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa aliyekuwa Kiongozi
wa Libya, marehemu Muammar Gaddafi.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (wa pili kushoto) na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mustafa Rajabu Shabani (kushoto), wakishiriki katika chakula cha usiku kilichoandaliwa na waumini wa Msikiti wa Gaddafi mkoani Dodoma jana, wakati walipomwita kwa ajili ya kumshukuru kutokana na jitihada zake katika kuwezesha ujenzi wa msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa aliyekuwa Kiongozi wa Libya, marehemu Muammar Gaddafi.
Katika hatua nyingine Wananchi
wengi walioongea na Blog ya Mtazamo Mpya wanaonekana kukubaliana kuwa Membe anatisha kwa CV nzuri
inayofaa kwa Rais wa nchi ya Tanzania amesoma mambo ya uongozi na utawala,
usalama wa taifa na inteligensia, usuluhishi, mambo ya nje na mahusiano ya
kimataifa; amefanya kazi ya intelijensia kwa muda mrefu, zaidi ya miaka 10 na
amepanda sana vyeo ndani ya idara hiyo nyeti na hivyo anazijua siri nyingi za
serikali na namna nzuri ya kuongoza nchi;
Ameshika nafasi ya ukatibu wa mambo ya nje ndani ya chama chake
- ccm kwa zaidi ya miaka mitano na hivyo amekaa kamati kuu kwa muda kidogo
akishuhudia na kushiriki maamuzi nyeti ya uongozi wa nchi kupitia chama tawala
yakifanywa; amekuwa waziri wa mambo ya nje kwa zaidi ya miaka minne sasa,
amekuwa afisa wa balozi yetu ya Canada.
Aidha Mheshimiwa Membe ameshiriki kama mtu wa karibu sana wa
kampeni zilizomwingiza Rais JK madarakani - kwa haya tu utaona ni mtu ambaye
kama ataamua, ama kama anavyopenda kusema yeye mwenyewe kuwa 'ataoteshwa'
kuwania Urais ataweza kuwa na wasifu wa kutosha zaidi kuliko wengine waliojitokeza
ama wanasemwa semwa sana na watanzania walio wengi.
Zaidi ya hayo, Membe amekuwa mshauri wa karibu sana wa Rais
Kikwete na mratibu wa mambo yetu ya nje ya nchi kuliko wote waliojitokeza ama
wanasemwasemwa, na hana kashfa za rushwa wala ubadhirifu wa mali ya umma kama
wenzake.
Pia afya yake inaonekana kuwa imara na yuko kwenye umri muafaka
kabisa kuwa Rais. Kwa mujibu wa katiba ambayo si rasmi lakini inafuatwa na
Tanzania hii ni zamu ya Rais kuwa ni muumini wa dini ya kikristo, Membe ni
mkristo mzuri kabisa na mwenye kufuata misingi ya dini yake na dhehebu lake na
hivyo anatimiza sifa kabisa.
Waziri Membe akiwa na wananchi mbalimbali kwenye ziara zake za kutafuta wadhamini mikoani hapa nchini
WAZIRI Membe akizungumza na Wananchi wakati wa ziara zake mikoani kwa lengo la kutafuta wadhamini.
Wananchi wakimsikiliza Mheshimiwa Bernald Membe
Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe June 8, 2015
alichukua fomu za kuomba ridhaa ya kugombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi
(CCM) makao makuu ya chama hicho mjini Dodoma baada ya kutangaza nia hiyo jana
(Jumapili).
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD