TANGAZO
MATUKIO KATIKA PICHA YA MHESHIMIWA BERNALD K.MEMBE MKOANI DODOMA
SHEIKH Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mustafa Rajabu Shabani (kulia) akimtambulisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (katikati), kwa waumini wa Msikiti wa Gaddafi mkoani humo jana, wakati waumini hao walipomwita kwa ajili ya kumshukuru kutokana na jitihada zake katika kuwezesha ujenzi wa msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa aliyekuwa Kiongozi wa Libya, marehemu Muammar Gaddafi. Kushoto ni Diwani wa Kwadelo, Alhaj Omary Kariati. (Picha zote na John Badi)
SHEIKH Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mustafa Rajabu Shabani
akimtambulisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard
Membe (wa pili kushoto), kwa waumini wa Msikiti wa Gaddafi mkoani humo jana,
wakati waumini hao walipomwita kwa ajili ya kumshukuru kutokana na jitihada
zake katika kuwezesha ujenzi wa msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa
aliyekuwa Kiongozi wa Libya, marehemu Muammar Gaddafi.
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe
akizungumza na waumini wa Msikiti wa Gaddafi mkoani Dodoma jana, wakati waumini
hao, walipomwita kwa ajili ya kumshukuru kutokana na jitihada zake katika
kuwezesha ujenzi wa msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa aliyekuwa Kiongozi
wa Libya, marehemu Muammar Gaddafi.
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe
akiagana na waumini wa
Msikiti wa Gaddafi mkoani Dodoma jana, wakati waumini hao walipomwita kwa ajili
ya kumshukuru kutokana na jitihada zake katika kuwezesha ujenzi wa msikiti huo
uliojengwa kwa ufadhili wa aliyekuwa Kiongozi wa Libya, marehemu Muammar
Gaddafi. Kushoto ni Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mustafa Rajabu Shabani.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe
(kushoto), akibadilishana mawazo na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mustafa
Rajabu Shabani, wakati waumini wa Msikiti wa Gaddafi mkoani Dodoma, walipomwita
jana kwa ajili ya kumshukuru kutokana na jitihada zake katika kuwezesha ujenzi
wa msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa aliyekuwa Kiongozi wa Libya, marehemu
Muammar Gaddafi. Kulia ni Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Waislam Tanzania
(BAKWATA), Mkoani humo, Zidikheri Swedy Kheri.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe
(wa pili kushoto) na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mustafa Rajabu Shabani
(kushoto), wakishiriki katika chakula cha usiku kilichoandaliwa na waumini wa
Msikiti wa Gaddafi mkoani Dodoma jana, wakati walipomwita kwa ajili ya
kumshukuru kutokana na jitihada zake katika kuwezesha ujenzi wa msikiti huo
uliojengwa kwa ufadhili wa aliyekuwa Kiongozi wa Libya, marehemu Muammar
Gaddafi.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe
akiagana na viongozi wa dini ya kiislam mkoa wa Dodoma jana, wakati waumini wa Msikiti wa Gaddafi,
walipomwita kwa ajili ya kumshukuru kutokana na jitihada zake katika kuwezesha
ujenzi wa msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa aliyekuwa Kiongozi wa Libya,
marehemu Muammar Gaddafi.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard
Membe (kulia) akizungumza na waumini wa Msikiti wa Gaddafi mkoani Dodoma jana, wakati
waumini hao, walipomwita kwa ajili ya kumshukuru kutokana na jitihada zake katika
kuwezesha ujenzi wa msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa aliyekuwa Kiongozi
wa Libya, marehemu Muammar Gaddafi.
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD