Loading...
ADVERTISE WITH US ON THIS BLOG.CALL +255 714 789 592/ +255 682 997 767/ +255 752 944 022

WAFANYABIASHARA MJI WA MASASI WAENDELEA NA MGOMO, WAFUNGA MADUKA

TANGAZO
Mgomo wa wafanya biashara bado unaendelea  kufukuta katika sehemu mbali mbali hapa Mjini Masasi  na kwingineko nchini ambapo maduka yamefungwa tangu asubuhi  hivi leo kutokana na wafanya biashara hao kutaka kupewa dhamana kwa mwenyekiti wao wa wafanya biashara Bwana ,Joseph Minja,Hali hiyo inafanya wakazi wa Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara  kukosa mahitaji maalumu kutokana na Mgomo huo usiofahamika kuwa utaisha lini. Mtazamo Mpya itaendelea kuwajuza nini kinaendelea mjini hapa.
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD
Newer Posts Older Posts
© Copyright Mtazamo Mpya | Designed By FAHARI YA TANZANIA
Back To Top