Loading...
ADVERTISE WITH US ON THIS BLOG.CALL +255 714 789 592/ +255 682 997 767/ +255 752 944 022

SOMA HAPA TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA WOTE WA HALMASHAURI YA MJI WA MASASI

TANGAZO
Eneo la Maduka Tisa Mjini Masasi

TANGAZO
KWA WAFANYABIASHARA WOTE HALMASHAURI YA MJI WA MASASI:
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI WA MASASI ANAWAKUMBUSHA WAFANYABIASHARA WOTE KUWA NA LESENI HAI ZA BIASHARA.

KUENDESHA BIASHARA BILA KUWA NA LESENI HAI NI KINYUME NA SHERIA YA LESENI ZA BIASHARA NA.25 YA MWAKA 1972 NA.3 (1, 2 & 3).

MFANYABIASHARA YEYOTE ATAKAYEBAINIKA KUFANYA BIASHARA KINYUME NA SHERIA HII ATACHUKULIWA HATUA KALI ZA KISHERIA KAMA ILIVYOAINISHWA KATIKA KIFUNGU NA.10 (1) & (2).

MWISHO WAFANYABIASHARA WOTE WANASISITIZWA KUFUATA MASHARTI YA LESENI,IKIWA NI PAMOJA NA KUWEKA LESENI ZAO SEHEMU ZA WAZI KATIKA MAENEO YAO YA BIASHARA KWANI KUTOFANYA HIVYO NI KWENDA KINYUME NA MATAKWA YA SHERIA YA LESENI KIFUNGU NA. 14 (1).

Tangazo hili pia linapatikana kwenye Tovuti ya Halmashauri ya mji wa Masasi www.masasitc.go.tz

Clarence Chilumba,
Ofisa Habari Halmashauri ya Mji wa Masasi
11/03/2016.

TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD
Newer Posts Older Posts
© Copyright Mtazamo Mpya | Designed By FAHARI YA TANZANIA
Back To Top