TANGAZO
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe: Majaliwa Kassim Majaliwa(Picha ya Maktaba)
WAZIRI
mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la
Ruangwa mkoani Lindi MAJALIWA KASSIM MAJALIWA amewaagiza maofisa watendaji wa
vijiji wilayani humo kuwakamata na kuwachukulia hatua wananchi watakaotumia
vibaya kwa kupikia pombe chakula cha msaada tani 2000 zilizotolewa na serikali
ili kuwasaidia baadhi ya wananchi wenye matatizo ya chakula wilayani humo.
Agizo
hilo amelitoa hii leo katika vijiji vya Narungombe na Nangurugai wakati wa
muendelezo wa ziara yake ya siku tatu wilayani humo ya kukagua shughuli
mbalimbali za maendeleo.
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD