Loading...
ADVERTISE WITH US ON THIS BLOG.CALL +255 714 789 592/ +255 682 997 767/ +255 752 944 022

KAMPENI ZA UCHAGUZI WA NAFASI YA UBUNGE JIMBO LA MASASI SASA KUANZA TENA NOV O5-DEC 12,2015.

TANGAZO
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji mstaafu wa mahakama ya Rufani Damian Lubuva.


TAARIFA KWA WAKAZI WA JIMBO LA MASASI:

Kufuatia kifo cha aliyekuwa mgombea wa ubunge jimbo la Masasi kupitia chama cha NLD Marehemu Dkt.Emanuel Makaidi Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Masasi ulihairishwa.

Hivyo basi kampeni rasmi za uchaguzi huo zitaanza tena tarehe 05/11/2015 na kumalizika tarehe 12/12/2015 ambapo uchaguzi utafanyika tarehe 13/12/2015.

WAGOMBEA:
1.RASHID CHUACHUA-CCM

2.ISMAIL MAKOMBE(KUNDAMBANDA)-CUF
3.DKT.PETER TIMOTHY OMARI-ACT-WAZALENDO
4.MUSTAPHA SWALEHE-CHADEMA.



NB: Chama cha NLD kinafanya mazungumzo ya mwisho na uongozi wa UKAWA na pindi watakapokamilisha watatoa rasmi jina la Mgombea wao atakayeziba nafasi ya Marehemu Dkt.Emanuel Makaidi na tutawajulisha.

WITO:
Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Masasi bado anawaomba wakazi wa jimbo la Masasi kuendelea kushiriki mikutano ya kampeni ya vyama vya siasa kwa amani na utulivu kama ilivyokuwa hapo awali.
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD
Newer Posts Older Posts
© Copyright Mtazamo Mpya | Designed By FAHARI YA TANZANIA
Back To Top