TANGAZO
MKUU wa mkoa wa
Mtwara Halima Dendego ametoa siku saba kwa kaimu Ofisa mtendaji wa kata ya
Chiwale wilayani Masasi Barnaba Mpili kuhakikisha kuwa wanafunzi 40 kati ya 90 wa
kidato cha kwanza ambao hadi sasa hawapo
shuleni wanaripoti kabla hajafanya maamuzi magumu kwa wazazi na walezi wa watoto
hao.
Maagizo hayo aliyatoa
jana wakati anazungumza na wananchi, wazazi na wanafunzi wa shule ya sekondari
ya kutwa ya Chiwale Halmashauri ya wilaya ya Masasi mkoani Mtwara wakati wa
ziara yake fupi iliyokuwa na lengo la kukagua ujenzi wa maabara shuleni hapo.
BAADHI ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya kata ya Chiwale wakimsikiliza mkuu wa mkoa wa Mtwara Halima Dendego.
WAZEE wa kijiji cha Chiwale waliojitokeza kumsikiliza mkuu wa mkoa wa Mtwara Halima Dendego alipofanya ziara ya kukagua ujenzi wa maabara shuleni hapo.
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD