Loading...
ADVERTISE WITH US ON THIS BLOG.CALL +255 714 789 592/ +255 682 997 767/ +255 752 944 022

HAWA NDIO WAJUMBE WATAKAOCHAGUA MAJINA MATANO YA WAGOMBEA WA CCM DODOMA

TANGAZO
HAWA ndio wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM ambao ndio watakaokaa na kupitia majina 33 ya wagombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi na hatimaye watafanya kazi ngumu ya kuyachuja majina hayo ili yabaki matano (5) yatakayopelekwa kwenye Halmashauri kuu ya chama hicho na baadae kwenye mkutano mkuu siku ya Jumamosi Julai 11, 2015 ili kupata jina moja la mgombea atakayepeperusha bendera ya chama cha Mapinduzi kwenye uchaguzi mkuu ujao baadae Oktoba mwaka huu.
1. Dr. Jakaya Kikwete
2.Dr. Ally Mohamed Shein
3. Philip Mangula
4. Abdulrahman Kinana
5.Dr.Mohamed Gharib Bilal
6.Mizengo Pinda
7.Balozi Seif Ali Idd
8. Anne Makinda
9. Hadija Abood
10. Pandu Ameir Kificho
11. Rajab Luhwavi
12 Vuai Ali Vuai
13.Nape Nnauye
14. Muhammed Seif Khatib
15. Zakia Meghji
16.Asha-Rose Migiro
17. Sophia Simba
18. Sadifa Juma Khamis
19. Abdalah Bulembo
20. Jenister Muhagama
21.Willium Lukuvi
22. Steven Wasira
23. Dr. Emmanuel Nchimbi
24.Dr. Pindi Chana
25. Jerry Slaa
26..Adam Kimbisa
27. Shamsi Vuai Nahodha
28. Hussein Mwinyi
29. Maua Daftari
30. Samia Suluhu Hassan
31. Dr. Salim Ahmed Salim
32. Prof. Makame Mbarawa.


TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD
Newer Posts Older Posts
© Copyright Mtazamo Mpya | Designed By FAHARI YA TANZANIA
Back To Top