TANGAZO
Mkurugenzi wa Mfuko
wa Maendeleo ya Jamii nchini (TASAF) Ladislaus Mwamanga akifungua kikao kazi cha Waratibu wa
Mpango,Wahasibu wa Mpango Maofisa Ufuatiliaji na Waandishi wa Habari wa Mikoa
ya Lindi na Mtwara hii leo kwenye Ukumbi wa Profesa Tolly Mbwete chuo kikuu Huria Manispaa
ya Mtwara.
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD