TANGAZO
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewaapisha Wakuu
wa Mikoa wapya wa mikoa 26 ya Tanzania Bara tukio lililoanza mapema leo Machi
15, 2016, majira ya asubuhi ambapo pia tukio hilo lilirushwa moja kwa moja
katika televisheni ya Taifa ya TBC.
Wakuu
hao wa Mikoa ni pamoja na :
Paul
Makonda – Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam.
Meja
Jenerali Mstaafu Ezekiel Elias Kyunga – Mkuu wa Mkoa wa Geita.
Meja
Jenerali Mstaafu Salum Mustafa Kijuu – Mkuu wa Mkoa wa Kagera.
Meja
Jenerali Mstaafu Raphael Muhuga – Mkuu wa Mkoa wa Katavi.
Brigedia
Jeneral Mstaafu Emmanuel Maganga – Mkuu wa Mkoa wa Kigoma.
Godfrey
Zambi – Mkuu wa Mkoa wa Lindi.
Steven
Kebwe – Mkuu wa Mkoa wa Morogoro.
Kamishna
Mstaafu wa Polisi Zelote Steven – Mkuu wa Mkoa wa Rukwa.
Anna
Malecela Kilango – Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.
Mhandisi
Methew Mtigumwe – Mkuu wa Mkoa wa Singida.
Antony
Mataka – Mkuu wa Mkoa wa Simiyu.
Aggrey
Mwanri – Mkuu wa Mkoa wa Tabora.
Martine
Shigela – Mkuu wa Mkoa wa Tanga.
Jordan
Mungire Rugimbana – Mkuu wa Mkoa Dodoma.
Said
Meck Sadick – Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro.
Magesa
Mulongo – Mkuu wa Mkoa Mara.
Amos
Gabriel Makalla – Mkuu wa Mkoa Mbeya.
John
Vianey Mongella – Mkuu wa Mkoa Mwanza.
Daudi
Felix Ntibenda – Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
Amina
Juma Masenza – Mkuu wa Mkoa wa Iringa.
Joel
Nkaya Bendera – Mkuu wa Mkoa wa Manyara.
Halima
Omary Dendegu – Mkuu wa Mkoa wa Mtwara.
Rehema
Nchimbi – Mkuu wa Mkoa wa Njombe.
Mhandisi
Evarist Ndikilo – Mkuu wa Mkoa wa Pwani.
Said
Thabit Mwambungu – Mkuu wa Mkoa Ruvuma.
Luteni
Mstaafu Chiku Galawa – Mkuu wa Mkoa wa Songwe (Mkoa mpya)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Paul Christian Makonda kuwa mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam,Hafla hiyo fupi ya kuwaapisha Wakuu hao wa Mikoa imefanyika leo Ikulu,jijini Dar na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali.
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD