Loading...
ADVERTISE WITH US ON THIS BLOG.CALL +255 714 789 592/ +255 682 997 767/ +255 752 944 022

Auawa Kinyama Kwa Kupigwa Mawe Na Hatimaye Kuchomwa Moto Baada Ya Kuiba Kuku Saba

TANGAZO




Kijana Mmoja aliyefahamika kwa jina la NURUDINI HAMISI NANGONGA mkazi wa kijiji cha Nangumbu,Kata ya Malolo,Halmashauri ya wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi ameuawa kinyama kwa kupigwa Mawe na hatimaye kuchomwa moto muda Mfupi uliopita kijijini hapo katikati ya barabara kuu itokayo Nanganga kuelekea Ruangwa.

Sababu za kuchomwa moto ni baada ya kuiba Kuku wapatao Saba kwa kijana aliyefahamika kwa jina la DOTO MAKOTHA mkazi wa kijiji cha Nangumbu. Tutaendelea Kuwajuza....................
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD
Newer Posts Older Posts
© Copyright Mtazamo Mpya | Designed By FAHARI YA TANZANIA
Back To Top