TANGAZO
Katika hali
isiyokuwa ya kawaida Viongozi wa Chama cha wamiliki wa mabasi yaendayo mikoani
(TABOA) wametishia kuanza mgomo tena kesho kufuatia kushushwa kwa nauli za
mabasi.
Katibu mkuu
wa Taboa Enea Mrutu amedai kuwa hawawaonei watanzania bali watanzania
wanaonewa na wale waliotaka mafuta yashuke,amesema kupanda kwa dola kumepelekea
bei ya mafuta kupanda hivyo wanataka nauli za mabasi nazo zipande.
Katika hatua nyingine
TABOA wamewaagiza mawakala wa mabasi yaendayo mikoani nchini kutowakatia tiketi
abiria wanaotarajia kusafiri kesho mpaka pale watakapotoa taarifa rasmi kwao.
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD