Loading...
ADVERTISE WITH US ON THIS BLOG.CALL +255 714 789 592/ +255 682 997 767/ +255 752 944 022

#Kama Ulikosa #Uzinduzi Wa Zahanati Ya #SILABU Kata ya Napupa Hizi Hapa #Picha 9 Za Matukio Ya Uzinduzi Huo.

TANGAZO
 MKURUGENZI wa Halmashauri ya Mji wa Masasi Fortunatus Mathew Kagoro akizungumza wakati wa Hafla ya makabidhiano ya zahanati ya SILABU kata ya Napupa Hii leo.
 MKUU wa Wilaya ya Masasi Mh: Bernald Nduta akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Zahanati ya Silabu Halmashauri ya mji wa Masasi.

 Mkuu wa wilaya ya Masasi Mh: Bernald Nduta akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa watumishi wa NHC.



 BAADHI ya wakuu wa Idara waliohudhuria hafla hiyo ya makabidhiano ya zahanati ya Napupa.

TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD
Newer Posts Older Posts
© Copyright Mtazamo Mpya | Designed By FAHARI YA TANZANIA
Back To Top