Loading...
ADVERTISE WITH US ON THIS BLOG.CALL +255 714 789 592/ +255 682 997 767/ +255 752 944 022

DARAJA JIPYA LA KISASA KIGAMBONI LAKAMILIKA KWA ASILIMIA 99,MBIONI KUKABIDHIWA KWA SERIKALI

TANGAZO


Daraja jipya la kuvusha watu na Magari kwa wakazi wa Kigamboni na Upande wa pili umekamilika kwa asilimia 99 Hivi sasa. 

Daraja hilo ambalo limejengwa katika eneo la Kurasini Dar es salaam limeonekana likiwa katika Hatua za mwisho

Inasemekana zimebakia siku chache kwa Daraja hilo kukabidhiwa rasmi kwa Serikali ili wananchi wa eneo hilo waweze kuanza kulitumia na kupunguza adha wanayokabiliana nayo hivi sasa.



TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD
Newer Posts Older Posts
© Copyright Mtazamo Mpya | Designed By FAHARI YA TANZANIA
Back To Top