Loading...
ADVERTISE WITH US ON THIS BLOG.CALL +255 714 789 592/ +255 682 997 767/ +255 752 944 022

Wakuu Wa Mikoa Wapya Waapishwa Hii Leo Ikulu Jijini Dar es salaam,Wapewa Maagizo Ya Kiutendaji.

TANGAZO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewaapisha Wakuu wa Mikoa wapya wa mikoa 26 ya Tanzania Bara tukio lililoanza mapema leo Machi 15, 2016, majira ya asubuhi ambapo pia tukio hilo lilirushwa moja kwa moja katika televisheni ya Taifa ya TBC.

Wakuu hao wa Mikoa ni pamoja na :
Paul Makonda – Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam.
Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Elias Kyunga – Mkuu wa Mkoa wa Geita.
Meja Jenerali Mstaafu Salum Mustafa Kijuu – Mkuu wa Mkoa wa Kagera.
Meja Jenerali Mstaafu Raphael Muhuga – Mkuu wa Mkoa wa Katavi.
Brigedia Jeneral Mstaafu Emmanuel Maganga – Mkuu wa Mkoa wa Kigoma.
Godfrey Zambi – Mkuu wa Mkoa wa Lindi.
Steven Kebwe – Mkuu wa Mkoa wa Morogoro.
Kamishna Mstaafu wa Polisi Zelote Steven – Mkuu wa Mkoa wa Rukwa.
Anna Malecela Kilango – Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.
Mhandisi Methew Mtigumwe – Mkuu wa Mkoa wa Singida.
Antony Mataka – Mkuu wa Mkoa wa Simiyu.
Aggrey Mwanri – Mkuu wa Mkoa wa Tabora.
Martine Shigela – Mkuu wa Mkoa wa Tanga.
Jordan Mungire Rugimbana – Mkuu wa Mkoa Dodoma.
Said Meck Sadick – Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro.
Magesa Mulongo – Mkuu wa Mkoa Mara.
Amos Gabriel Makalla – Mkuu wa Mkoa Mbeya.
John Vianey Mongella – Mkuu wa Mkoa Mwanza.
Daudi Felix Ntibenda – Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
Amina Juma Masenza – Mkuu wa Mkoa wa Iringa.
Joel Nkaya Bendera – Mkuu wa Mkoa wa Manyara.
Halima Omary Dendegu – Mkuu wa Mkoa wa Mtwara.
Rehema Nchimbi – Mkuu wa Mkoa wa Njombe.
Mhandisi Evarist Ndikilo – Mkuu wa Mkoa wa Pwani.
Said Thabit Mwambungu – Mkuu wa Mkoa Ruvuma.
Luteni Mstaafu Chiku Galawa – Mkuu wa Mkoa wa Songwe (Mkoa mpya)



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Paul Christian Makonda kuwa mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam,Hafla hiyo fupi ya kuwaapisha Wakuu hao wa Mikoa imefanyika leo Ikulu,jijini Dar na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali.



TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD
Newer Posts Older Posts
© Copyright Mtazamo Mpya | Designed By FAHARI YA TANZANIA
Back To Top