TANGAZO
TANGAZO
KAMISHNA WA ARDHI
KANDA YA KUSINI ANAWATANGAZIA WAMILIKI WA ARDHI NA MASHAMBA KULIPIA
KODI YA ARDHI NA MASHAMBA KATIKA OFISI YA ARDHI
YA HALMASHAURI YA
MJI WA MASASI.
WANANCHI AMBAO
HAWAJALIPA KODI YA ARDHI KWA MIAKA YA NYUMA
WANATAKIWA KULIPA KODI YA MWAKA 2014 /2015 PAMOJA NA MALIMBIKIZO.
ILI KUEPUSHA USUMBUFU, WAMILIKI
WA VIWANJA NA MASHAMBA WANASHAURIWA KUWASILISHA RISITI
YA MALIPO YA NYUMA KWA AJILI YA
UHAKIKI WAKATI WA MAKADIRIO YA KODI YA 2014 /2015.
WIZARA YA ARDHI INAKUSUDIA KICHUKUA
HATUA KALI ZA KISHERIA IKIWEMO KUWAFIKISHA MAHAKAMANI NA
KUBATILISHA MILIKI ZA VIWANJA KWA WALE WAMILIKI
WATAKAOSHINDWA KULIPIA KODI YA ARDHI KWA VIWANJA NA MASHAMBA
YAO BAADA YA TANGAZO HILI.
LIMETOLEWA NA:
KAMISHINA
MSAIDIZI WA ARDHI KANDA YA KUSINI
KWA MAWASILIANO
ZAIDI PIGA SIMU NAMBA:
0754-425786/0787-793844
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD