TANGAZO
MBUNGE wa Mtwara Mjini
kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Hasnain Murji, amewataka vijana
Mkoani Mtwara, kutodanganyika na maneno ya wanasiasa wapotoshaji kwani
fursa zinazokuja Mtwara ni fursa ambazo kwa kweli watakuja kuyaona
matunda yake baadae, huku akiwataka wazazi na walezi kuwapeleka
watoto wao shule ili wapate elimu ya kutosha waweze kupata kazi kwenye viwanda
vitakavyojengwa na wawekezaji hapa mkoani Mtwara(PICHA NA FATUMA MAUMBA).
Mbunge wa Jimbo la Mtwara Murji akiwahutubia wananchi kwenye mkutano wa Hadhara
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD