TANGAZO
ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Wilman Ndile, ambaye kwa
sasa amehamishiwa Wilaya Kalambo, jana machi 12, 2015, amemkabidhi
rasmi ofisi Mkuu mpya wa Wilaya ya Mtwara Fatuma Ally, huku
akimtaka Mkuu huyo kufanyakazi kwa ushirikiano na Watendaji wa
Serikali, Asasi za Kiraia, Mabenki, wafanyabiashara, Makampuni
binafsi, wanasiasa wa vyama vyote, wananchi pamoja na waandishi wa habari
kutoka vyombo mbalimbali vya habari,kwani akifanya hivyo atafanya kazi kwa
ufanisi mkubwa wa hali ya juu (Picha na Fatuma Maumba)
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD