TANGAZO
BREAKING NEWS: Ajali imetokea changalawe Mafinga basi
la Majinja lilikuwa linatokea Mbeya kwenda Dar limeangukiwa na kontena muda huu
na watu wengi wanakadiriwa kufariki na hali ni mbaya sana
Watu wapatao 50 wanahofiwa kufa
papo hapo baada ya basi hilo la Majinja Express kugongana na lori na kuangukiwa
na kontena hilo.Tutaendelea kuwajuza..................
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD