TANGAZO
Mtu mmoja amefariki dunia huku wawili hali zao zikiwa mbaya baada ya kujeruhiwa vibaya katika ajali ya gari
ambalo ni lori iliyotokea muda si mrefu katika eneo la NALIENDELE Mkoani Mtwara.
Taarifa za awali zinaeleza kuwa lori
hilo lilikuwa limebeba matofali likipeleka kwenye eneo la ujenzi la askari
mmoja wa jeshi la wananchi (JWTZ).
Watu wengine zaidi ya saba nao pia
wamejeruhiwa na wako katika Hospitali ya Ligula Manispaa ya Mtwara.Tutaendelea
kuwajuza...........
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD