TANGAZO
Na Fatuma Maumba wa
Mnyeto,Lindi.
Mwenyekiti wa Chama Cha Waandishi
wa Habari Mkoa wa Lindi Abdulaziz Ahmed leo amejitokeza mbele ya
waandishi wa Habari kutangaza nia yake ya kugombwa ubunge Jimbo la Lindi Mjini
kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Aidha amedai kuwa
kilichomsukuma kuwania nafasi hiyo ni kutaka kubadilisha maisha ya wananchi wa
jimbo hilo ambao wamekuwa wakikosa huduma mbalimbali za kijamii.
MWENYEKITI WA CHAMA CHA
WAANDISHI WA HABARI MKOA WA LINDI, ABDULAZIZ AHMEID,AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI (HAWAPO PICHANI) KUHUSU NIA
YAKE YA KUGOMBEA NAFASI YA UBUNGE KWENYE JIMBO LA LINDI MJINI.
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD