TANGAZO
Atengua uteuzi wa Ma-DC 12, awabadilisha vituo 64,
awabakiza 42 kwenye vituo vyao vya zamani.
RAIS Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya kwa kuwateua Wakuu wapya 27, kuwahamisha vituo vya kazi 64 na wengine 42 amewabakisha kwenye vituo vyao vya kazi vya zamani.
Akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa OWM TAMISEMI leo mchana (Jumatano, Februari 18, 2015) Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema mabadiliko hayo yamesababishwa na kuwepo kwa nafasi wazi 27 ambazo zilitokana na wakuu wa wilaya watatu kufariki dunia; kupandishwa cheo wakuu wa wilaya watano, kupangiwa majukumu mengine wakuu wa wilaya saba na kutenguliwa kwa uteuzi wa wakuu wa wilaya 12.
Hata hivyo, Waziri Mkuu alisema, Rais Kikwete amewabadilisha vituo vya kazi wakuu wa wilaya 64 na kuwabakiza kwenye vituo vyao vya zamani wakuu wa wilaya 42.
Wakuu wa Wilaya wapya 27 walioteuliwa ni Mariam Ramadhani Mtima anayeenda Ruangwa; Dk. Jasmine B. Tiisike anayeenda Mpwapwa; Pololeti Mgema (Nachingwea); Fadhili Nkurlu anayeenda Misenyi; Felix Jackson Lyaniva anayeenda Rorya na Fredrick Wilfred Mwakalebela anayeenda wilayaya Wanging’ombe.
Wengine na vituo vyao kwenye mabano ni Zainab Rajab Mbussi (Rungwe); Francis K. Mwonga (Bahi); Kanali Kimiang’ombe Samwel Nzoka (Kiteto), Husna Rajab Msangi (Handeni), Emmanuel J. Uhaula (Tandahimba); Mboni Mhita (Mufindi); Hashim S. Mgandilwa (Ngorongoro); Mariam M. Juma (Lushoto); Thea Medard Ntara (Kyela); Ahmad H. Nammohe (Mbozi); Shaban Kissu (Kondoa) na Stephen Zelothe (Musoma).
Wengine ni Pili Moshi (Kwimba); Mahmoud A. Kambona (Simanjiro); Glorius B. Luoga (Tarime); Zainab R. Telack (Sengerema); Bernard Nduta (Masasi); Zuhura Mustafa Ally (Uyui); Paulo Makonda (Kinondoni); Mwajuma Nyiruka (Misungwi) na na Maftah Ally Mohamed (Serengeti).
Wakuu wa Wilaya saba ambao uteuzi wao umetenguliwa lakini watapangiwa kazi nyingine ni Brig. Jenerali Cosmas Kayombo aliyekuwa Simanjiro; Kanali Ngemela E. Lubinga (aliyekuwa Mlele); Juma S. Madaha (aliyekuwa Ludewa); Mercy E. Silla (aliyekuwa Mkuranga); Ahmed R. Kipozi (aliyekuwa Bagamoyo); Mrisho Gambo (aliyekuwa Korogwe) na Elinas A. Pallangyo (aliyekuwa Rombo).
WALIOHAMISHA WILAYA ZAO NI PAMOJA NA
Nyerembe Munasa kutoka Arumeru kwenda Mbeya, Jordan Rugimbana kutoka Kinondoni kwenda Morogoro, Fatma Ally kutoka Chamwino kwenda Mtwara, Lephy Gembe kutoka Dodoma Mjini kwenda Kilombero, Christopher Kangoye, kutoka Mpwapwa kwenda Arusha, Omary Kwaang’ kutoka Kondoa kwenda Karatu, Francis Isack kutoka Chemba kwenda Muleba na Betty Mkwasa kutoka Bahi kwenda Dodoma Mjini.
Agnes Hokororio kutoka Ruangwa kwenda Namtumbo, Regina Chonjo kutoka Nachingwea kwenda Pangani, Husna Mwilima kutoka Mbogwe kwenda Arumeru, Gelad Guninita kutoka KIlolo kwenda Kasulu, Zipporah pangani kutoka Bukoba kwenda Igunga na kanali Issa Njiku kutoka Misenyi kwenda Mlelea.
Pia wamo Richard Mbeho kutoka Biharamulo kwenda Momba, Lembris Marangushi kutoka Muleba kwenda Rombo, ramadhani Maneno kutoka Kogoma kwenda Chemba, Venance Mwamoto kutoka Kibondo kwenda kaliua, Gishuli Charles kutoka Buhigwe kwenda Ikungi.
Wengine ni Novatus Makunga kutoka Hai kwenda Moshi, Anatory Chonya kutoka Mbulu kwenda Ludewa, Christine Mndeme kutoka hanang kwenda Ulanga, Jackson Musome kutoka Musoma kwenda Bukoba, John Henjewele kutoka Tarime kwenda Kilosa, Dk Norman Sigalla kutoka Mbeya kwenda Songea, Dk.Michael Kwedeghe kutoka Mbozi kwenda Mbulu, Crispin Meela kutoka Rungwe kwenda babati, Magreth Malenga kutoka Kyela kwenda Nyasa.
Saidi Amanzi kutoka Morogoro kwenda Singida, Antont Mtaka kutoka Mvomero kwenda Hai, Elias tarimo kutoka Kilosa kwenda Biharamulo, Francis Miti kutoka Ulanga kwenda hanang, Hassan Masala kutoka Kilombero kwenda Kibondo.
Angelina Mabula kutoka Butiama kwenda Iringa, Farida Mgomi kutoka Masasi kwenda Chamwino, Willaim Ndile kutoka Mtwara kwenda kalambo, Ponsian Nyami kutoka Tandahimba kwenda bariadi, Mariam Lugaila kutoka Misungwi kwenda Mbongwe, Mary Onesmo kutoka Ukerewe kwenda Buhigwe, Karen Yunus kutoka Sengerema kwenda Magu, Josephine Matiro kutoka makete kwenda Shinyanga, Joseph Mkirikiti kutoka Songea kwenda Ukerewe.
Wengine ni Abdula Lutavi kutoka namtumbo kwenda Tanga, Ernest Kahindi
kutoka Nyasa kwenda Longido,
Anna Nyamubi kutoka Shinyanga kwenda Butiama, Rosemary Kirigini kutoka Meatu kwenda Maswa, Abdallah Kihato kutoka Maswa kwenda Mkuranga, Erasto Sima kutoka Bariadi kwenda Meatu, Queen Mulozi kutoka Singida kwenda Urambo, Yahya Nawanda kutoka Iramba kwenda Lindi, Manju Msambya kutoka Ikungi kwenda Ilemela, Saveli maketta kutoka kaliua kwenda Kigoma, Bituni Msangi kutoka Nzega kwenda Kongwa na Lucy Mayenga kutoka Uyui kwenda Iramba.
Majid Mwanga kutoka Lushoto kwenda bagamoyo, Muhingo Rweyemamu kutoka Handeni kwenda Makete, Hafsa Mtasiwa kutoka pangani kwenda Korogwe, dk Nassoro Hamid kutoka Lindi kwenda Mafia, Festo Kiswaga kutoka nanyumbu kwenda Mvomero, Selemani Mzee kutoka Kwimba kwenda Kilolo, Esterina Kilasi kutojka Waning’ombe kwenda Muheza, Subira Mgalu kutoka Muheza kwenda Kisarawe na jacline Liana kutoka Magu kwenda Nzuga.
Waziri Mkuu pia aliwataja Wakuu wa Wilaya 12 ambao uteuzi wao umetenguliwa kutokana na sababu za umri, kiafya na kuimarisha utendaji Serikaini na wilaya zao kwenye mabano kuwa ni James K. Ole Millya (Longido); Elias Wawa Lali (Ngorongoro); Alfred Ernest Msovella (Kongwa); Danhi Beatus Makanga (Kasulu); Fatma Losindilo Kimario (Kisarawe); Elibariki E. Kingu (Igunga); Dk. Leticia Moses Warioba (Iringa); Evarista N. Kalalu (Mufindi); Abihudi M. Saideya (Momba); Martha J. Umbulla (Kiteto); Khalid J. Mandia (Babati) na Elias Goroi (Rorya).
IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU,
S. L. P. 980,
DODOMA.
JUMATANO, FEBRUARI 18, 2015.

Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD