TANGAZO
Na Clarence Chilumba,Tandahimba
Kiwanda cha kubangua korosho kilichopo wilayaya Tandahimba mkoani Mtwara kimeteketea kwa moto na hayo kwenye picha ni mabaki ya tani za korosho ambazo zimebanguliwa zikiwa zimeteketea kwa moto baada ya kiwanda hiko kuungua moto jana usiku na kuteketeza zaidi ya tani 16 .1 za korosho zilizobanguliwa chanzo cha moto huo ni hitilafu kwenye mfumo wa umeme iliyosababishwa na radi.
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD