Mkuu wa mkoa wa
Mtwara kushoto Halima Dendego akimwapisha Mkuu wa wilaya ya Masasi, Bernard
Nduta kulia ni katibu Tawala msaidizi Utawala na rasilimali, Renatus Mongogwele.
Mkuu mpya wa wilaya
ya Masasi mkoani Mtwara Bernard Nduta akipeana mkono na Mkuu wa mkoa, Halima
Dendego baada ya kuapishwa hii leo katika
ukumbi wa Boma Mkoani Mtwara.