TANGAZO
Wakazi wa mji wa Masasi na vitongoji vyake mnaombwa kujitokeza kwa wingi kuja kuhudhuria maadhimisho ya siku ya sheria Nchini (LAW DAY 2015) itakayofanyika siku ya terehe 04/02/2015 kuanzia saa 2:30 Asubuhi kwenye viwanja vya Mahakama ya Wilaya ya Masasi.
MAUDHUI YA MWAKA HUU YANASEMA:
"FURSA YA KUPATA HAKI,WAJIBU WA SERIKALI MAHAKAMA NA WADAU"
"ACCES TO JUSTICE: THE ROLE AND RESPONSIBILITY OF THE GOVERNMENT,JUDICIARY AND STAKEHOLDERS"
WOTE MNAKARIBISHWAAA!!!!!
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD