TANGAZO
BAADHI YA WATOTO KUTOKA KWENYE SHULE MBALIMBALI ZILIZOPO HALMASHAURI YA MJI WA MASASI WAKIWA KWENYE MAADHIMISHO YA WIKI YA ULINZI NA USALAMA WA MTOTO KWENYE VIWANJA VYA TERMINAL TWO MAARUFU UWANJA WA FISI MJINI MASASI.
WAJUMBE WA TIMU YA ULINZI NA USALAMA WA MTOTO YA HALMASHAURI YA MJI WA MASASI WAKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA MBELE YA MGENI RASMI KWA UTAMBULISHO WA TIMU HIYO.
MGENI RASMI KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA ULINZI NA USALAMA WA MTOTO KAIMU MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI WA MASASI BWANA GEOFREY MARTIN MWENYE SHATI LA DRAFT AKIWA KWENYE VIWANJA VYA TERMINAL TWO.
WATOTO WAKIWA WAMEBEBA MABANGO YANAYOONESHA VITENDO MBALIMBALI VYA KIKATILI WANAVYOFANYIWA KWENYE JAMII IKIWA NI UJUMBE WAO WA WIKI YA MAADHIMISHO YA ULINZI NA USALAMA WA MTOTO.
KIKUNDI CHA MCHEMA KIKITUMBUIZA KWENYE MAADHIMISHO YA WIKI YA ULINZI NA USALAMA WA MTOTO
WATOTO WAKIWA KWENYE MAANDAMANO YALIYOANZIA KWENYE VIWANJA VYA HALMASHAURI YA MJI WA MASASI NA KUISHIA KWENYE VIWANJA VYA TERMINAL TWO MAARUFU UWANJA WA FISI.
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD