TANGAZO
Kikundi cha Mchema kikifanya mambo yake kwenye wiki ya ulinzi na usalama wa watoto
Mchema Group wakifanya yao
Baadhi ya watoto waliojitokoeza kushiriki kwenye maadhimisho ya wiki ya ulinzi na usalama wa watoto kwenye viwanja vya Terminal Two mjini Masasi
Baadhi ya wananchi waliojitokeza wakifuatilia maadhimishoya wiki ya ulinzi wa mtoto
MC wa sherehe za maadhimisho nya wiki ya ulinzi na usalama wa watoto ambaye pia ni mjumbe wa timu ya ulinzi na usalama wa watoto kutoka kanisa la Anglikana Bwana Kachenga akiwaongoza watoto katika wimbo maalumu.
Burudani kutoka kwa mmoja wa wanakikundi wa Mchema akifanya mambo yake akiwa amebeba ndoo yenye maji huku akiendesha Baiskeli.
Mjumbe wa timu ya ulinzi na usalama wa mtoto kutoka jeshi la polisi wilaya ya Masasi Ramadhani Semjaila akiwasilisha mada kuhusu dawati la jinsia na watoto
Wanafunzi wa shule ya msingi Masasi wakitumbuiza kwenye maadhimisho ya wiki ya ulinzi na usalama wa mtoto.
Mtoto kutoka shule ya msingi Masasi Samson Charles akiwaongoza wenzake katika wimbo uliokuwa na lengo la kufikisha ujumbe kwa jamii kwenye kilele cha maadhimisho ya wiki ya ulinzi na usalama wa watoto.
Hakimu mkazi Mfawidhi wa mahakama ya wilaya ya masasi mkoani Mtwara ambaye pia ni mjumbe wa timu ya ulinzi na usalama ya mtoto ya Halmashauri ya mji wa Masasi Asha Mwetindwa akiwasilisha mada kuhusu sheria ya mtoto ya mwaka 2009 kwenye maadhimisho ya wiki ya ulinzi na usalama wa mtoto.
Maandamano ya watoto kwenye maadhmisho ya wiki ya ulinzi na usalama wa mtoto
Baadhi ya maofisa maendeleo ya jamii wakiwa kwenye maandamano ya wiki ya ulinzi na usalama wa mtoto.
Ujumbe wa watoto kwa jamii ya Tanzania
Burudani kutoka kwa kikundi cha Mchema
BURUDANI KUTOKA KWA KIKUNDI CHA MCHEMA KUHUHU ATHARI ZA VITENDO VYA KISHIRIKINA KWA WATOTO
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD