TANGAZO
Mtu
mmoja aliyefahamika kwa jina la Fadhili Mdachi (23) mkazi wa maendeleo
Halmashauri ya mji wa Masasi amefariki dunia mara baada ya kugonga guta kwa
nyuma iliyokuwa imebeba vinywaji na kufariki dunia papo hapo kwenye eneo la
Rest Camp mjini Masasi.
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD