TANGAZO
Na Clarence Chilumba,Masaasi.
Mkazi
wa mtaa wa Migongo kata ya
Migongo Halmashauri ya Mji wa Masasi mkoani Mtwara
Hajili Mpili (52) amepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kumlawiti mtoto wake wa
kiume mwenye umri wa miaka tisa(9) nyumbani kwake jana majira ya saa 2:00 usiku.
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD