TANGAZO
Mkazi mmoja wa Mjini Masasi ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja ameuawa na watu wenye hasira kali katika eneo la Mahenge mjini Masasi.
Marehemu huyo alidaiwa kuwa ni mwizi mashuhuri wa pikipiki maeneo ya masasi na ndipo watu wenye hasira kali waliamua kumpiga na hatimaye kufariki dunia huko katika hospitali ya mkomaindo.
Mtuhumiwa huyo wa wizi wa pikipiki akiwa hoi huku akishindwa kujitambua ambapo polisi ndio waliomuokoa na alifia hospitali ya Mkomaindo.
Hali ni tete......................
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD