TANGAZO
Jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu TABU THOMASI aliyekuwa mke wa Sajenti wa JWTZ COSMAS MMOLE aliyejinyonga juzi majira ya saa 5:00 Asubuhi kwa kutumia kamba akiwa chumbani nyumbani kwake.
Mamia ya waombolezaji waliojitokeza kwa wingi kwenye mazishi hayo ya mwalimu TABU THOMASI aliyejinyonga na kuzikwa kijijini kwao huko Mbonde Halmashauri ya mji wa Masasi mkoani Mtwara.
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD