Loading...
ADVERTISE WITH US ON THIS BLOG.CALL +255 714 789 592/ +255 682 997 767/ +255 752 944 022

#PICHAZ: Ziara Ya Kikazi Ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Jimboni Ruangwa,Mkoani Lindi.

TANGAZO
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wazee wa kijiji  cha Chunyu  kabla ya kuwasalimia wananchi akiwa katika ziara ya jimbo lake la uchaguzi la Ruangwa.




Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha  Matambalale  katika jimbo lake la uchaguzi la Ruangwa
 Mke wa Waziri Mkuu, Mary Majaliwa akiwapungia wananchi wa kijiji cha Mihewe  akiwa ameambatana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  kwenye ziara ya jimbo la Ruangwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwaslimia wananchi wa kijiji cha Mihewe kabla ya kuzungumza nao akiwa katika ziara ya jimbo lake la uchaguzi la Ruangwa
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD
Newer Posts Older Posts
© Copyright Mtazamo Mpya | Designed By FAHARI YA TANZANIA
Back To Top