Loading...
ADVERTISE WITH US ON THIS BLOG.CALL +255 714 789 592/ +255 682 997 767/ +255 752 944 022

#Diwani Aanika Mafanikio Yake Kwa Wananchi Tangu Kumalizika Kwa Uchaguzi Mkuu 2015.

TANGAZO

Diwani wa kata ya Marika Asha Milanzi akizungumza wakati wa sherehe zake za kuwashukuru wananchi wa kata hiyo kwa kumchagua.

DIWANI wa kata ya ‪#‎MARIKA‬ Halmashauri ya mji wa ‪#‎MASASI‬ Asha Millanzi hii leo amewashukuru wananchi wa kata hiyo kwa kumchagua kwa kura nyingi zilizomwezesha kuwa Diwani katika kata hiyo mpya.
‪#‎AIDHA‬ Diwani huyo ametumia siku hiyo kuelezea mafanikio yake katika kutekeleza ‪#‎AHADI‬ alizozitoa wakati wa kampeni,miongoni mwa shughuli za maendeleo alizozifanya mara baada ya uchaguzi mkuu 2015 ni pamoja na:
1.Mchango wa Bati 20 za ujenzi wa shule ya msingi,Mifuko mitano ya saruji pamoja na mifuko 10 ya chokaa katika kijiji cha ‪#‎Machombe‬.
2.Ametekeleza ahadi yake ya kuchangia bati 10 kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya kijiji na kuwapatia vijana uwanja wa michezo wenye thamani ya shilingi 320,000/= katika kijiji cha Namatunu.
"ONA AIBU MTOTO WAKO KUKAA CHINI SHULENI...JITOLEE KUTENGENEZA DAWATI...MASASI NI MIMI NA WEWE".


 Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Masasi Kazumari Malilo (Simba wa Yuda) akipokea gwaride la heshima kutoka kwa kikosi cha Green Guard.










TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD
Newer Posts Older Posts
© Copyright Mtazamo Mpya | Designed By FAHARI YA TANZANIA
Back To Top