Loading...
ADVERTISE WITH US ON THIS BLOG.CALL +255 714 789 592/ +255 682 997 767/ +255 752 944 022

#YOUNG SqUiz Wizy KUZINDUA NGOMA YAKE MPYA YA #SITAKI #TENA KESHO MJINI MASASI

TANGAZO

 Na Clarence Chilumba ,Masasi.
Baada ya kudondosha pini Kadhaa Zilizovuta Hisia Kwa Mashabiki Wa Muziki wa Miondoko Ya Bongo Fleva Ndani Ya Mji Wa Masasi Na Kwingineko Tanzania Mkali wa Bongo Flava  #Young Squiz Wizy atafanya Utambulisho wa Ngoma Yake Mpya imayokwenda kwa jina la #SITAKI #TENA.

 Maandalizi ya Uzinduzi wa Ngoma Hiyo Kali kuwahi Kutokea Mikoa Ya Kusini Tayari Yamekamilika Na Kinachosubiriwa kwa sasa ni Uzinduzi Rasmi wa Nyimbo Hiyo.

Uzinduzi wa Ngoma Hiyo Iliyorekodiwa Ndani ya Studio za #PAX MUSIC Iliyopo Mitaa ya Nyasa Mjini Masasi inayomilikiwa na   Producer Mkali #CHIGITA MNYAMA Utafanyika Ndani ya Studio za Radio Fadhila-95.0 Fm Mjini Masasi Kuanzia Mishale ya Saa 7:30 za Mchana.

“Hii si  ya Kukosa kesho kwa heshima Kubwa #TUNE 95.0  usikilize madini yaliyokwenda shule kutoka kwa #Squiz WiZy kwa lengo la ku-Support Mziki wa Masasi  Xo kama Vipi sikilzia #ExClusive Interview Hapo Kesho.


Msanii wa Bongo Fleva Mjini Masasi Young Squiz Wizzy (Kulia) ambaye kesho anatarajia kuzindua nyimbo yake mpya ya sitaki Tena.
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD
Newer Posts Older Posts
© Copyright Mtazamo Mpya | Designed By FAHARI YA TANZANIA
Back To Top