TANGAZO
Timu ya ulinzi ya kamati ya mtoto ya Halmashauri ya mji wa masasi walipotembelea shule ya msingi ya macDonald iliyopo eneo la Mtandi lengo likiwa ni kutoa taarifa za uundaji wa klabu zitakazoshughulikia masuala ya ulinzi na usalama wa mtoto.
TANGAZO
Wednesday, 11 February 2015