TANGAZO
Mkuu wa jeshi la polisi wilaya ya Masasi AZARIA MAKUBI wakati anatoa taarifa fupi ya jeshi hilo kwa mkuu wa mkoa wa Mtwara HALIMA DENDEGO kwenye viwanja vya jeshi la polisi wilaya ya Masasi.
BAADHI ya askari wa jeshi la polisi wilaya ya Masasi wakimsikiliza kwa makini mkuu wa mkoa wa Mtwara.
ASKARI wa jeshi la polisi wilaya ya Masasi wakitoa heshima kwa mkuu wa mkoa wa Mtwara Halima Dendego.
Azaria makubi na baadhi ya maofisa wa kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya Masasi wakiwa na mkuu wa mkoa wa Mtwara alipotembelea kwa lengo la kuzungumza na askari hao.
Kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya Masasi wakiwa kwenye kikao cha mkuu wa mkoa wa Mtwara.
MKUU wa mkoa wa Mtwara Halima Omari Dendego wakati anaongea na askari wa jeshi la polisi wilaya ya Masasi.
TANGAZO
Saturday, 14 February 2015