Hiyo pikipiki iliyobeba watu watatu (Aliyekaaa katikati) ndio iliyombeba moja ya watu walionusuriia kwenye ajali hiyo na kukimbizwa hospitali ya mkomaindo masasi.
Ni eneo lililopo karibu na ofisi ya idara ya elimu msingi Halmashauri ya mji wa Masasi.