Loading...

#PICHAZ........Uzinduzi wa Maonesho Ya Nane Nane Ngongo Lindi 2016.

TANGAZO
WAZIRI wa Nishati na Madini Prof: Sospeter Muhongo (Kushoto) akikagua moja ya Banda la Wajasiliamali kwenye maonesho ya Nane Nane yanayofanyika kitaifa kwenye Viwanja vya Ngongo Manispaa ya Lindi.
AFISA Mifugo Halmashauri ya Mji wa Masasi Bi,Rehema Charles akionesha namna bora ya uboreshaji wa chakula cha mifugo kutoka kwenye masalia ya mazao.
MKE wa Rais mstaafu wa awamu ya nne Mama Salma Kikwete akisaini kitabu cha wageni kwenye Banda la Magereza wakati wa maonesho ya Nane Nane 2016 Ngongo Manispaa ya Lindi.

Maonesho ya Nane Nane Manispaa ya Lindi.

TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD
© Copyright Mtazamo Mpya | Designed By FAHARI YA TANZANIA
Back To Top