Loading...
ADVERTISE WITH US ON THIS BLOG.CALL +255 714 789 592/ +255 682 997 767/ +255 752 944 022

#KATIBU Tawala Mkoa Wa Mtwara Atembelea Banda la Maonesho Ya Nane Nane Halmashauri Ya Mji Masasi 2016.

TANGAZO
KATIBU Tawala mkoa wa Mtwara Alfred Luanda akikagua bidhaa kwenye Banda la Halmashauri ya Mji wa Masasi wakati alipotembelea banda hilo Agosti 3,2016.

 Bwana Alfred Luanda katibu Tawala wa mkoa wa Mtwara (Kushoto) akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa wajasiliamali katika Banda la Halmashauri ya Mji wa Masasi.
 KATIBU Tawala mkoa wa Mtwara Alfred Luanda akimikiliza kwa makini meneja wa kampuni ya TUKAMUSYANE Bi,Lydia Amuli kwenye Banda la maonesho la Halmashauri ya Mji wa Masasi.

 Akipewa maelezo kutoka kwa mjasiliamali.



Bwana Alfred Luanda katibu Tawala wa mkoa wa Mtwara akisaini kitabu cha wageni kwenye Banda la Halmashauri ya mji wa Masasi.
TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by WAYEGE CO.LTD
Newer Posts Older Posts
© Copyright Mtazamo Mpya | Designed By FAHARI YA TANZANIA
Back To Top